SFH Banner
DVD ITEM

Kizazi cha Mayatima

Kanda inayohusu utunzaji na usaidizi wa kijumuiya wa mayatima wa ukimwi.

Kanda hii inalenga juhudi za kijiji kimoja huko Uganda kinavyokabiliana na tatizo linaloongezeka la mayatima. Wafanyakazi wa maendeleo ya jamii na wafanyakazi wa ustawi wa jamii wanaelezea jinsi mahitaji ya watoto hawa yanavyoweza kutekelezwa – na haki zao kulindwa –kwa kutoa msaada kwa mashirika ya kijamii kuliko huduma za kitaasisi.

Imetolewa na Small World Productions na Strategies for Hope.

1993; dakika 40.